top of page

Bwana Yesu Alipokwisha Kula

Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, Aliwaosha miguu yao


Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, aliwaosha miguu


Akawaambia mwafahamu niliyowatendea mimi niliye bwana na mwalimu wenu


Nimewapa mfano ili mtende ninyi mtende vile vile


Amin amin, nawaambia ninyi mtumwa si mkuu kuliko Bwana wake


Wala mtume sio mkuu, kuliko yeye aliyempeleka


Mkiyajua haya, heri ninyi mkiyatenda

0 views0 comments

Kommentare

Mit 0 von 5 Sternen bewertet.
Noch keine Ratings

Rating hinzufügen
bottom of page