top of page

Bwana Wewe Ndiwe Mchungaji Wangu

Bwana wewe ndiwe mchungaji wangu sitapungukiwa kitu x2

  1. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza kando ya maji ya utulivu huniongoza

  2. Huihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia na hata kwa ajili ya jina lake

  3. Naam, nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya

  4. Kwa maana wewe upo pamoja nami, gongo lako na fimbo yako vyanifariji

  5. Waandaa meza mbele yangu, machoni pa watesi wangu

  6. Hakika wema na fadhili zitanifuata, siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page