top of page

Bwana wa Mavuno

Basi mwImbieni Bwana (Bass-wa mavuno) Bwana wa mavuno (Bwana),(apeleke watenda kazi – katika mavuno yake (kwa maana) mavuno ni mengi (lakini watenda kazi ni wachache x 2)

1. Bwana moyo wangu umejaa maringo tele- Njoo Bwana nioshe nitakate

2.Bwana moyo wangu umejaa na chuki tele - Njoo Bwana nioshe nitakate

3. Bwana moyo wangu umejaa kiburi tele - Njoo Bwana nioshe nitakate

4. Bwana moyo wangu umejaa majivuno tele- Njoo Bwana nioshe nitakate

5.Bwana moyo wangu umejaa masengenyo tele- Njoo Bwana nioshe nitakate

6. Bwana moyo wangu umejaa fitina tele- Njoo Bwana nioshe nitakate

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page