top of page

Bwana wa Mabwana

Bwana wa Mabwana apewe sifa x2

Bwana wa mbiguni apewe sifa x2

Yeye ni Mfalme apewe sifa x2

Yesu Mwokozi apewe sifa x2


Atupenda, atujali, abariki, Yeye ni mwema, mwamba wetu, kimbilio ni mfariji yeye ni Mungu.


Aliteseka kwa ajili yetu x2

Akatufia msalabani x2

Ili tupate wokovu wetu x2

Tuwe na ushindi kwa jina lake.


Tumsifu, tumwabudu, tumuinue, yeye ni mwema, Jehova Jire, Jehova shada, Jehova Raffa, yeye ni Mungu


(Back to verse 1)


Atupenda sisi, atujali sisi, abariki yeye . Yeye ni mwema, mwamba wetu sisi kimbilio letu ni mfariji yeye ni Mungu.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page