top of page

Bwana Utushibishe

1. Ee Bwana Yesu ee Mwana wa Mungu, utushibishe kwa mwili na damu.

(Ee Bwana) Ee Bwana Yesu (Ee Kristu) Mwana wa Mungu, Bwana utushibishe, (Kwa mwili) kwa mwili wako (Kwa damu) kwa damu yako Bwana utushibishe.

2. Utupatie chakula cha mbingu, utupatie kinywaji cha mbingu

3. Upendo wako uwe kati yetu, uzima wako uwe shime yetu.

4. Ulinde roho zetu ee Bwana, utupe nguvu za kukufuata.

5. Ututakase Bwana kwa damuyo, utuwezeshe kuungana nawe.

6. Ulijifanya sawasawa nasi, usituache Bwana kaa nasi.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page