top of page

Bwana Upokee

Bwana upokee, Bwana upokee, zawadi twaleta x2

1. Mkate na divai- Zawadi Twaleta

Mazao ya mashamba - Zawadi Twaleta

Na pia nafsi zetu- Zawadi Twaleta

Vyote tulivyonavyo- Zawadi Twaleta

Furaha na uchungu- Zawadi Twaleta


2. Na kiini cha ngano- Zawadi Twaleta

Na tunda la mzabibu- Zawadi Twaleta

Fedha za mifukoni- Zawadi Twaleta

Nafaka upokee- Zawadi Twaleta

Twakutolea vyote- Zawadi Twaleta


3. Kwako Baba muumba- Zawadi Twaleta

Kwa njia ya Mwokozi - Zawadi Twaleta

Katika mfariji - Zawadi Twaleta

Ipate kugeuzwa- Zawadi Twaleta

Iweze kutufaa - Zawadi Twaleta


4. Pokea, twakuomba- Zawadi Twaleta

Ingawa ni kidogo - Zawadi Twaleta

`Twatolea kwa moyo - Zawadi Twaleta

Baba, usikatae - Zawadi Twaleta

Vipaji vya mwanao - Zawadi Twaleta

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page