top of page

Bwana Unihifadhi Mimi

Bwana unihifadhi mimi, nakukimbilia.Bwana unihifadhi mimi kwa maana nakukimbilia wewe x 2 Adui zangu wasifurahi, kwa kunishinda.

  1. Ee Mungu kwa jina lako uniokoe / usikie maneno ya kinywa changu.

  2. Lakini wewe Bwana ndiye kinga yangu / Mungu ninayemtumaini.

  3. Ee Bwana unifundishe njia zako/ unifundishe na mapito yako.

  4. Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu/ bali unitendee kwa kadiri ya uwingu wa fadhili zako.

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page