top of page

Bwana Unibadili


1.Mimi nimekuwa mtu mwenye tamaa nyingi,ninatamani kila kitu kizuri duniani.

Bwana unibadili (ni) niyaache yote Bwana Bwana unibadili(ni) nikufuate wewe milele x2

2.Bwana ninakuomba unipatiye msimamo,nisimame upande wako milele milele...

3.Bwana yabadili matendo yangu nitendayo,nitendayo yawe ya kupendezayo wewe...

4.Bwana zibadili njia zangu nipitazo,nipite katika njia zako e Mungu wangu...

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page