top of page

Bwana Nipokee

Ninakuja kwako Bwana – Bwana nipokee x 2

Nakuabudu Bwana (Kwa sala na) kwa nyimbo x 2,

Bwana nitakase mimi Bwana niokoe x 2

1. Wewe ndiwe kinga yetu-wewe ndiwe nguvu,

Wewe ndiwe muumba wetu -wewe ndiwe Bwana.

2. Wewe ndiwe Bwana wa majeshi -mfalme wa mbinguni

Ndiye Mungu mwema Mungu kweli -apendaye haki

3. Jina lako litukuzwe-mfalme wa mbinguni

Wewe ndiwe Bwana mtakatifu -Mungu wa neema.

4. Atukuzwe Mungu Baba- Pia na mwana,

Pamoja na Roho mtakatifu- Milele Amina.

0 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page