top of page

Bwana Nimeamua Mimi

Bwana nimeamua mimi kufanya kazi yako x2.

(Naingia shambani shambani mwako Bwana, nijalie Bwana nivune mavuno vema) x2

  1. Enyi malaika nawasihi muwe tayari kunisindikiza mimi hadi shambani.

  2. Lakini nasema kazi ya kuvuna mavuno, hiyo si yangu mimi bali Mwenyezi.

  3. Mimi mwanao nitafanya kazi yako(nijalie upendo, uvumilivu na pia uaminifu x2)

0 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page