top of page

Bwana ni Nuru Yangu

Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimuogope nani? Uzima wangu nimhofu nani x2

  1. Watesi wangu na adui zangu, walijikwaa wakaanguka Jeshi lijapo kupigana nami moyo wangu hautaogopa

  2. Vita vijaponitokea, hata hapo nitatumaini neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ndilo nitalitafuta

  3. Nikae nyumbani kwa Bwana, siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri wa Bwana, nakutafakari hekaluni mwake

1 view0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page