top of page

Bwana ni Mchunga

  1. Bwana ni mchunga sitahitaji, majani mabichi malisho yangu, ananinywesha maji matulivu, atanirudisha nikipotea.

  2. Nipitapo bondeni mwa mauti, umlizi wangu sitaogopa, fimbo yako yatosha kunilinda, ukinifariji sina hasara.

  3. Kati ya mateso meza waandaa, na kikombe changu kina furika, umenipaka kichwani mafuta, nitaulizaje zaidi kwako.

  4. Wema na fadhili zinifuate siku zangu zote hata milele, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana katika Ufalme wa pendo lake.

11 views0 comments

Bình luận

Đã xếp hạng 0/5 sao.
Chưa có xếp hạng

Thêm điểm xếp hạng
bottom of page