top of page

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Sop: Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, sitapungukiwa

All: sitapungukiwa, sitapungukiwa (na kitu) sitapungukiwa x2

Ten; Katika

All: Katika majani mabichi hunilaza

Ten: Kando ya maji

All: Kando ya maji ya utulivi uniongoza x2

Sop: Aiyee,

All: aiyelele, aiyelele x2

Sop: Bwana

All: Ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu

  1. Ninapopita katika bonde la giza kuu, sitaogopa hatari yeyote, Bwana ndiye

  2. Ewe mwenyezi Mungu upamoja nami gongo lako na fimbo yako vinanilinda, Bwana ndiye

  3. Karamu umeniandalia mbele ya adui zangu Bwana nitakusifu, Bwana ndiye

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page