top of page

Bwana Nakushukuru Asante


Umenilisha mwili wako na damu yako ili nipate uzima wa milele (: wewe) – Bwana nakushuru asante. Nitakulipa nini mimi Mwokozi wangu, kwa mema yote ambayo umenijalia – Bwana nakushukuru asante.

  1. Bwana nakushuru asante x 2 Pendo lako kwangu kubwa sana x2

  2. Bwana nakushuru asante x 2 kwani umenilisha mwiliyo x 2

  3. Bwana nakushuru asante x 2 Kwani umeninywesha damuyo x2

  4. Bwana nakushuru asante x 2 Wema wako kwangu kubwa sana x2


48 views0 comments

留言

評等為 0(最高為 5 顆星)。
暫無評等

新增評等
bottom of page