top of page

Bwana Mungu Aliona

Bwana Mungu aliona Mwanakondoo apotea Kwa upendo akamtoa Mwana wake wa pekee

Alelu - aleluya kazaliwa Yesu mwa - Yesu Mwana wa Pekee Bethlehe - Bethlehemu amelazwa Mama - Mamayo Maryamu


Lile neno lilikuwa maandishi yanenavyo Na kwa yeye vitu vyote vikapata kuwepo


Siku Yesu alizaliwa watu wote walishangilia Wakasema huyu mfalme Mwokozi wa dunia



0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page