top of page

Bwana Moyo Wangu



Bwana moyo wangu hauna kiburi nayo macho yangu hayainuki x2 Wala siji shugulishi na mambo makuu yanayozishinda nguvu zangu x2


  1. Hakika nimetiliza nafsi yangu na pia kuinyamazisha.

  2. Kama mtoto aliyeachishwa ziwa kifuani mwa mama yake.

  3. Bwana raha yangu iliyo kwangu mimi tangu leo na hata milele.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page