top of page

Bwana Atuita


Bwana atuita Bwana Yesu atuita, tujongee mbele yake, tukampokee x2

Mwili wako, ee Bwana, damu yako, ee Bwana, vyatushibisha roho zetu x2

  1. Karamu yako ni chakula cha kweli, karamu yako ni kinywaji cha kweli.

  2. Karamu yako ni kumbukumbu la mateso yako, karamu yako ni karamu ya sadaka.

  3. Karamu yako ni Mwanakondoo kweli wa Pasaka, karamu yako ni mana kweli katika safari yetu

  4. Karamau yako ni amana ya ufufuko wetu, karamu yako ni mfano wa karamu ya mbinguni

  5. Karamu yako ni dawa ya udhaifu wetu, karamu yako ni malisho ya mchungaji mwema.

5 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page