top of page

Bwana Anakuja


Bwana anakuja Bwana anakuja awahukumu mataifa kwa haki x2 ((mataifa) mataifa (mataifa) kwa haki yake (mataifa) mataifa (haaha) kwa haki yake)) x2

  1. Mwimbieni Bwana (ooh) zaburi kwa kinubi, kwa kinubi na kwa (ooh) sauti ya zaburi, kwa panda na sauti ya baragumu (mshangilieni mbele za mfalme Bwana) x2

  2. Bahari ivume, (ooh) na vyote vijazavyo, na wanaokaa (ooh) ndani ya ulimwengu, na mito, na ipige na makofi, (milima ifurahi mbele za Bwana) x2

  3. Kwa maana Bwana, (ooh) anakuja nchini, kuhukumu nchi, (ooh) na wale wenye nchi, a-tauhukumu ulimwengu, (na mataifa kwa adili kwa adili) x2

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page