top of page

Bwana Ameweza


  1. Haya tazameni ninyi wenyewe Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote. Haya magumu yasiyofanyika Mungu wangu mwenye nguvu amentenda yote

  2. Maji yaliyomwagika kabisa Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote. Ameyazoa yakajaa upya Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  3. Katikati ya bahari ya sham Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote. Israeli kapita kwa muguu Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  4. Nilipofukiwa shimo la zege Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote. Kulipokucha kaniweka huru Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  5. Vilema vyangu nilivyomwonesha Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote. Amevigusa vikapona mara Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  6. Nitapaza sauti kilimani Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

  7. Dunia yote isikie haya Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote.

3 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page