top of page

Bwana amepaa Mbinguni

Bwana amepaa Mbinguni aleluya (kweli) Bwana amepaa kwa shangwe aleluya


Ninapaa kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu Kwa Mungu wangu na Mungu wenu


Mioyo yenu isihuzunike kwa maana ninakwenda kwa Baba


Ninakwenda kuwatengezea mahali nitakwenda tena kuwachukua


Ili mpate kuwapo nilipo mimi

Kutoka Mbinguni, atakuja Mwokozi tunayemtazamia ndiye Bwana Yesu Kristu


Bwana atageuza, miili yetu ya unyonge upate kufanana na mwili wake na utukufu


Kristu alikufa kwa ajili yetu akafufuka


Amekaa kuume kwa Baba Ndiye anaye tuombea

14 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page