top of page

Bwana Ameitika


Neema amenipa Baraka anashusha maombi na sala zangu zimemfikia na leo


Ameitika Mungu amenijibu maombi ameisikia sauti nilipomuita Bwana x2 ameitika


  1. Mungu nilimuita usiku na mchana, kwa imani niliamini atajibu na leo

  2. Nilimpelekea malalamiko yangu masononeko yangu yamemfikia na leo

  3. Watu walinisema kwa maneno mabaya, nikamuomba Mungu awasamehe na leo


HITIMISHO

Sitaacha kumuita Bwana amesikia sauti sitachoka kumuomba Mungu ameyajibu maombi x2


15 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page