top of page

Bwana Amefufuka

Bwana amefufuka tuimbe aleluya, amefufuka kweli kweli aleluya x2

Utukufu na ukuu una yeye hata milele aleluya x 2

  1. Nimefufuka na bado ningali nawe pamoja nawe

  2. Umeniwekea mkono wako maarifa hayo ni ya ajabu aleluya

  3. Maarifa haya ya ajabu aleluya

  4. Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya

0 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page