top of page

Bwana Alivyo Mkarimu

Bwana alivyo mkarimu, Bwana alivyo na upendo, tazama ametuandalia chakula cha uzima x2 Wale wapenzi wa Bwana jongeeni kwake. Bwana anawaalika jongeeni kwake. Wenye usafi wa moyo jongeeni kwake. Bwana anawaalika jongeeni kwake

1. Kweli ni rahisi kusimama na kujongea mbele,lakini jiulize kama unastahili.

2.Usijione mwepesi wakuijongea altare, ujue unaipokea hukumu yako.

3. Wengi wenu mnaonekana wasafi kwa usoni, lakini mioyo yenu imejaa kutu.

5. Mmejipamba kwa mavazi yenye kupendeza sana,lakini mioyo yenu nikama kaburi.

14 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page