top of page

Bwana Alitutendea Mambo Makuu

Bwana alitutendea mambo, (mambo) mambo makuu x2. Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko (kicheko) na ulimi wetu kelele za furaha, {Bwana alitutendea mambo (mambo) mambo makuu x2

  1. Bwana alipowajerereza mateka sayuni, tulikuwa kama waotao ndoto, (ndipo kinywa chetu, kilipojaa kicheko na ulimi wetu kelele za furaha x2).

  2. Ndipo waliposema katika mataifa, Bwana amewatendea mambo makuu, (Bwana alitutendea mambo makuu tulikuwa na furaha x2).

  3. Ee Bwana uwarejeze watu wetu waliofungwa, kama vijito vya kusini, (wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele, watavuna kwa kelele za furaha x2.

  4. Ingawa mtu anakwenda zake akilia, zichukuapo mbegu za kupanda, (Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo, miganda yake x2).

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page