top of page

Bwana Alipokwisha Kula

{ Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, aliwaosha miguu yao, miguu yao } *2 Bwana alipokwisha kuwaosha miguu yao Akaketi tena akawaambia (akisema) Je mmeelewa haya niliyowatendea Ninyi mwaniita mwalimu na bwana Nanyi mwanena vyema (mmenena mmesema vyema) Basi ikiwa mimi niliye bwana na mwalimu Nimewaosha miguu yenu x2


Imewapasa hivyo kuoshana miguu ninyi kwa ninyi Kwa kuwa nimewapa mfano kamili mmeuona Kama mimi nilipowatendea nanyi mtende hivyo

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page