top of page

Bwana Alipokwisha Kubatizwa

Bwana alipokwisha kubatizwa x2, mbingu zika mfunukia na roho akashuka, kwa mfano wa hua na kukaa juu yake. ( juu yake).

  1. Natazama sauti ya Baba, kutoka mbinguni, inasema huyu ndiye mwanagu mpendwa.

  2. Ndiye ninayependezwa naye msikilizeni, sauti ilisikika kutoka mbinguni.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page