top of page

Bwana Alipoingia

Bwana alipoingia, katika mji mtakatifu Watoto wa Mayahudi - walimlaki Bwana Wakichukua matawi - ya mizeituni Wakisema hosanna, hosanna, hosanna juu hosanna juu mbinguni x2

Wakatandaza na nguo zao wakimlaki Bwana


Hosanna hosanna juu mbinguni hosanna mbinguni


Mbarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana

1 view0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page