top of page

Bwana Aliniambia

Bwana aliniambia ee mwanangu nikutume (wote) nitume kuhubiri x 2

Naye aliponiambia, nilimjibu Bwana nikisema hivi kwamba, Bwana niko tayari mimi, Bwana niko tayari nami nitakwenda x 2

1. Bwana aliniambia njoo mwanangu njoo, ukahubiri, habari njema kwa wote masikini – nenda ukahubiri, Kwa mataifa yote, nimekutuma leo ewe mwanangu.


2. Bwana aliniambia njoo mwanangu njoo, ukawatangazie uhuru wale waliofungwa, Nenda ukahubiri kwa mataifa yote, nimekutuma leo wewe ewe mwanangu.


3. Bwana aliniambia njoo mwanangu njoo, ukawahudumie vipofu nao wapate kuona

Nenda ukahubiri kwa mataifa yote, nimekutuma leo wewe ewe mwanangu.

2 views0 comments

댓글

별점 5점 중 0점을 주었습니다.
등록된 평점 없음

평점 추가
bottom of page