top of page

Bwana Akuita Njoo

Bwana Mungu anasema, njoo kwangu njoo x2. Njooni kwangu ninyi msumbukao (na kulemewa) {Bwana Mungu anasema nitawapumzisha x2}.

1. Mimi ndimi njia ya ukweli na uzima, mtu haji kweli kwake bila mimi.

2. Yule mwenye dhambi aungame kwake Baba atasamehewa kwa maovu yake yote.

3. Yeye ndiye kweli mchungaji akuita kwake kuna nuru ya ukweli sikiliza.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page