top of page

Bungoma Mass


BWANA UTUHURUMIE


Sop: Bwana Bwana tuhurumiex2 (All) Ewe Bwana, ewe Bwana, Bwana tuhurumie x2.

Ten: Kristu, Kristu tuhurumiex2 (All) Ewe Kristu, ewe Kristu,Kristu tuhurumie x2.

Sop: Bwana Bwana tuhurumiex2 (All) Ewe Bwana, ewe Bwana, Bwana tuhurumie x2.


UTUKUFU


T/B: Utukufu uwe kwa Mungu, Utukufu juu mbinguni,na amani iwe duniani, kwao watu wa mapenzi mema x2.

Twakusifu, twakuheshimu, twakuabudu, twakutukuza, kwa ajili ya utukufu, utukufuwako mkuu,


A/T/B: mmmm

1. Twakushukuru, Mfalme wa mbingu, Yesu Kristu Mwana wa pekee, Mwana Kondoo wa Mungu, Mwana wa Baba, Ee Bwana.

2. Uondoae, dhambi zetu tuhurumie,tusikilize, uketiye kuume kwa Baba, tuhurumie ee Bwana,

3. Kwa kuwa, ndiwe uliye, pekee yako, Yesu Kristu. Pekee yako Mtakatifu, ndiwe mkuu, Ee Bwana.

4. Pamoja, naye Roho Mtakatifu, katika tukufu, wa Mungu Baba yetu, unatukuzwa, Ee Bwana.

76 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page