top of page

Bikira Maria

Bikira Maria uliyekingwa dhambi ya asili (ee Mama) Utuombee sisi kwa mwanao mpenzi Yesu Kristu aliye mbinguni.

  1. Dhambi ya asili hukuipata, ili umzae Mwana wa Mungu.

  2. Wewe wasifika ulimwenguni, na malaika wanakusifu.

  3. Kichwa cha shetani wakikanyaga, wewe ni mshindi wa hila zake.

  4. Utusaidie katika shida, usituache tuangamie.

  5. Uisimamie safari yetu, ya kwenda kwake Mungu mbinguni.

1 view0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page