top of page

Baragumu la Mariamu


  1. Nawakaribisha viumbe wa dunia tumuimbie x2

  2. Mnaokubali kwamba Yesu ni Bwana Mungu wenu x2

  3. Alibadilisha nepi Bwana wetu Mwokozi wetu x2

  4. Tumpigie ngoma vinanda na baragumu Mama Maria (salamu) Mama wa Yesu (Maria) x4 kwa kinanda cha nyuzi kumi sherehekea

  5. Ulimwengu ungeijua siri hii na tungepona x2

  6. Tumpigie ngoma vinanda na baragumu Mama Maria (salamu) Mama wa Yesu (Maria) x4 Kwa filimbi na kwa zumari, changamka.

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page