top of page

Baba Yetu- Migori


Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe, ufalme wako utakalo Baba lifanyike duniani kama mbinguni.

  1. Utupe leo mkate wetu, mkate wetu wa kila siku.

  2. Utusamehe makosa yetu kama tusameavyo wenzetu.

  3. usitutie kishawishini utukinge na maovu yote.

  4. Kwan ufalme ni wako Baba nguvu na utukufu milele.

3 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page