top of page

Baba yetu wa mbinguni (Baba) jina lako litukuzwe

(Baba) utakalo lifanyike(Baba) duniani na Mbinguni(Baba) x2.

  1. Ufalme wako uje baba hapa kwetu duniani na mbinguni.

  2. Tupe leo chakula chetu, chakula cha kila siku. Tusamehe-makosa yetu kama tusahemeavyo.

  3. Situtie Baba yetu kwenye majaribuni, lakini tuopoe na-yule muovu.

  4. Kwa kuwa ufalme wako nguvu na utukufu ni vyako-Baba yetu milele na milele.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page