top of page

Baba yangu, Baba yangu

Baba yangu, Baba yangu, kikombe cha mateso nisinywe ukitaka,ukitaka.


Ninatoka jasho – Baba yangu, Baba yangu

Bustanini hapa – Baba yangu, Baba yangu


Ah, rafiki yangu – Baba yangu, Baba yangu

Wanibusu nini? – Baba yangu, Bab yangu


Kama mwivi mbaya – Baba yangu, Bab yangu

Nitafungwa Kamba– Baba yangu, Bab yangu


Wananipeleka – Baba yangu, Bab yangu

Barazani mwao– Baba yangu, Bab yangu


Uwahurumie– Baba yangu, Bab yangu

Wenye kunipiga– Baba yangu, Bab yangu


Mimi Mfalme wao– Baba yangu, Bab yangu

Nitatiwa miiba– Baba yangu, Bab yangu


Nitahukumiwa– Baba yangu, Bab yangu

Bila kosa langu– Baba yangu, Bab yangu


Watanibebesha– Baba yangu, Bab yangu

Dhambi zao zote– Baba yangu, Bab yangu


Nitasulibiwa– Baba yangu, Bab yangu

Kwa ajili yao– Baba yangu, Bab yangu


Kati ya waouv– Baba yangu, Bab yangu

Ni mahali pangu– Baba yangu, Bab yangu

21 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page