top of page

Baba Tunaleta Vipaji



1. Baba tunaleta vipaji twakuomba sana pokea - Baba tunaleta twakuomba sana pokea Twaja kukushukuru kwa yote ulotujalia wanao - Baba tunaleta twakuomba sana pokea Baba tunasema- Asante, asante Kutupa uzima- Asante, asante -

Kwa kutukomboa- Asante, asante Kutuweka huru- Asante, asante

2. Mkate na divai twaleta twakuomba sana pokea

Ndiyo kazi yetu wanao twakuomba sana pokea

3. Mazao ya mashamba twaleta twakuomba sana pokea Hata ni kidogo twaleta twakuomba sana pokea

4. Nazo fedha zetu twaleta twakuomba sana pokea Utupe baraka twaleta twakuomba sana pokea

11 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page