top of page

Baba Tunaleta

Baba tunaleta x3 yote ni mali yako, Baba tunaleta yote mali yako x2

1. Baba tunaleta pumzi zetu mali yako.

2. Baba tunaleta vijana mali yako.

3. Baba tunaleta uhai mali yako.

4. Baba tunaleta wazazi wetu mali yako.

5. Baba tunaleta Mapadri wetu mali yako.

6. Baba tunaleta watoto wetu mali yako.

7. Baba tunaleta waimbaji mali yako.

8. Masista………..

9. Na nchi…………..

10. Kanisa………….

4 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page