top of page

Baba Pokea Leo


Baba pokea leo sadaka yetu japo kidogo Baba uipokee x2 Twakutolea Baba sadaka yetu leo ikupendeze Baba na uibariki x2

1. Mkate na divai tunakutolea ni kazi ya mikono twaomba pokea

2. Mazao ya mashamba tunakutolea japo kidogo Baba twaomba pokea

3. Maombi yetu pia tunakutolea uyatakase tena twaomba pokea

4. Na nafsi zetu pia tunakutolea kwa wema wako Baba twaomba pokea


9 views0 comments

Bình luận

Đã xếp hạng 0/5 sao.
Chưa có xếp hạng

Thêm điểm xếp hạng
bottom of page