top of page

Baba Mikononi Mwako

Baba mikononi mwako, naiweka roho yangu.

1. Baba, uwasamehe, kwani hawajui wanalofanya.

2. Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami paradisini.

3. Mama tazama huyo ndiye mwanao, tazama huyo Ndiye mama yako.

4. Ili andiko litimizwe Yesu alisema, naona kiu.

5. Baada ya kupokea siki alisema, yametimia.

6. Mungu wangu Mungu wangu, mbona umeniacha.

7. Baba mikononi mwako, naiweka roho yangu.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page