top of page

Baba asante


Baba asante sina cha kulipa wewe Baba, kwa wema wako uliotujalia x2

  1. Umenipa uhai, umenipa uzima tele, (nimetoa dhabibu na nimetoa sadaka, siwezi, kulinganisha na wema wako Bwana)x2

  2. Umenipa mavuno umenijalia mali nyingi ( nimetoa vipaji na matoleo na fedha, siwezi, kulinganisha na wema wako Bwana) x2

  3. Umenipa talanta ya kukuimbia kanisani (nakusifu kwa nyimbo na kwa kayamba na ngoma, siwezi, kulinganizha na wema wako Bwana) x2.

25 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page