top of page

Atukuzwe Mungu (Traditional)

(Masifu Baada ya Baraka ya Ekaristi)



  1. Atukuzwe Mungu atukuzwe Mungu - Atukuzwe Mungu, atukuzwe, Litukuzwe Jina lake takatifu - Atukuzwe Mungu atukuzwe

  2. Atukuzwe Yesu Kristu Mungu na mtu - Atukuzwe Mungu atukuzwe, Litukuzwe Jina lake takatifu -

  3. Utukuzwe moyo wake Mtakatifu - Itukuzwe damu yake takatifu -

  4. Katika sakramenti Yesu atukuzwe - Roho Mtakatifu Mfariji atukuzwe -

  5. Atukuzwe Maria mama wa Mungu - Aliyekingiwa dhambi ya asili -

  6. Aliyepalizwa MbinguniMaria atukuzwe - Litukuzwe Jina la Mama na Bikira -

  7. Atukuzwe Yosefu mchumba wake safi - Katika malaika na watakatifu -

54 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page