top of page

Asubuhi na Mapema


ASUBUHI NA MAPEMA

Asubuhi na mapema ndege humwimbia Mungu (nao) wanyama wanacheza cheza wadudu wana rukaruka (nasi) tumsifu Mungu wetu aliyeumba vyote, ni kwa nini tusiimbe na kucheza cheza x2

  1. Tumepewa sauti nzuri za kupendeza, tunasali mara mbili kwa njia ya nyimbo.

  2. Tufurahini sisi sote katika Bwana, wema wake Bwana Mungu hauna kifani.

  3. Ametulinda usiku wa giza tororo, asubuhi na mchana Mungu atukuzwe

  4. Nitamhimidi Bwana wangu kila wakati, sifa zikinyawani mwangu daima.

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page