top of page

Astahili Mwanakondoo

Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa, Na kutukomboa kwa damu yake, Kupokea enzi utajiri na hekima, Na nguvu, na heshima, utukufu na baraka


Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa, Na akatukomboa, kwa damu yake Kupokea enzi, utajiri, na hekima Na nguvu, na heshima, utukufu na baraka


/t/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye aketiye juu juu ya kiti cha enzi, aketiye juu ya kiti cha enzi milele milele milele milele milele milele milele mile-le na Mwanakondoo


/s/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi cha Mwana kondoo milele milele milele, utukufu Aketiye juu ya kiti na mwanakondoo


/a/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye milele milele milele aketiye juu ya kiti cha mwanakondoo /b/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi na Mwana kondoo


/b/ Baraka heshima utukufu una yeye milele aketiye juu yaaa kiti na Mwanakondoo milele na milele Na mwanakondoo milele /a/ Baraka heshima utukufu una yeye utukufu una yeye aketiye juu ya kiti aketiye juu ya kiti milele na milele na mwanakondoo milele


/s/ Baraka heshima utukufu una yeye utukufu una yeye aketiye juu aketiye juu ya kiti milele na milele na mwanakondoo milele /t/ Baraka heshima utukufu una yeye na mwanakondoo milele na milele na kwa mwana kondoo milele

[s/a/t] Baraka heshima utukufu una yeye yeye [t/b] Baraka heshima nguvu utukufu una yeye Baraka! Heshima!! nguvu! utukufu una yeye! Aketiye juu ya kiti cha enzi milele milele Milele na milele x6

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page