top of page

Astahili Enzi Utajiri na Heshima

Astahili enzi utajiri na heshima Milele milele milele milele astahili enzi utajiri na heshima Milele milele milele milele


Mwanakondoo aliyechinjwa astahili kupokea enzi na utajiri


Na hekima na nguvu na heshima utukufu kwake pamoja na enzi daima na milele


Ee Mungu umpe mfalme hukumu yako umpe mwana wa mfalme na haki yako


Atawahukumu walioonewa na watu atawaokoa wahitaji, hatamtesa mwenye kuonewa


Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele amina

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page