top of page

Asifiwe Mungu

Asifiwe, asifiwe, asifiwe Mungu Baba, asifiwe Mungu Mwana na Roho Mtakatifu, kwa sababu ametufanyizia huruma yake kwake, huruma yake x2

  1. Usifiwe utatu Mtakatifu na umoja usio gawanyika.

  2. Sote twautukuza utatu Mtakatifu, umetufanyizia huruma yake Mungu.

  3. Ee Bwana Mungu wetu, jina lako ni kuu tena ni la ajabu popote duniani.

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page