top of page

Asante Twashukuru

Asante twashukuru, asante twashukuru, asante twashukuru, Baba kwa mapaji yako

  1. Umetulisha kwa chakula cha mbinguni / chakula cha juu mbinguni asante twashukuru

  2. Umetulisha mkate kiini cha ngano / mwili wako twaamini asante twashukuru

  3. Umetunyesha divai ya mzabibu / damu yako twaami asante twashukuru

  4. Umetufundisha neno lako la uzima / neno lako ndiyo mwanga asante twashukuru

  5. Umetulinda wiki nzima hata milele / umetupa na mapaji asante twashukuru

  6. Umetubariki kwa neema mbali mbali / mema yako ya mbinguni asante twashukuru

  7. Umetuepusha hatari magonjwa / kwa ulinzi wako bora asante twashukuru

4 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page