top of page

Asante Bwana Yesu

Asante Bwana Yesu kwa mema yako yote; uliyojujalia Bwana tunakushukuru x2.

  1. Mwili ni damu yako – Bwana tunakushukuru, ni chakula bora… ni kinywa bora…

  2. Kwa mapendo yako… uliyotupenda … yasiyo mipaka…

  3. Afya njema kweli… umetujalia … magonjwa ee Baba – umetuepusha.

  4. Ajali njiani – Bwana umetukinga umetuepusha – Bwana tunakushukuru Baba tunasema – asante sana Bwana.

  5. Atukuzwe Mwana – milele na milele atukuzwe Mwana – milele na milele pamoja na Roho – siku zote amina.

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page