top of page

Asante Bwana Yesu

Asante Bwana Yesu, - mfadhili mpaji wa vyote, kwa fadhili zake nyingi Bwana asante x2

(mwili tume kula damu tumekunywa ni chakula cha uzima, ni kinywaji cha roho x2).

  1. Mwili wako bora damu yako safi Yesu twashukuru.

  2. Umetujalia neema zako nyingi…

  3. Na upendo wako umetujalia…

  4. Kwa kututakasa kwa karamu yako…

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page