top of page

Asante Baba Twashukuru

Asante twashukuru, asante twashukuru, asante twashukuru, Baba kwa mapaji yako

  1. Neno lako tumepata, funzo lako tumelipata hayo yote Baba twasema asante.

  2. Mwili wako umetulisha, damu yako umetunywesha, hayo yote Baba twasema asante.

  3. Mwili wako chakula bora, damu yako kinywaji safi, hayo yote Baba twasema asante.

  4. Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu, kama mwanzo na siku zote amina.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page