top of page

Apewe Sifa



Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee heee Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee } *2 { Utukufu nakupa wewe, utukufu nakupa wewe, Sifa na heshima nakupa we, Ewe mwenyezi unaweza } *2

Nguzo ya moto aliwasha, nilindwe usiku, Nayo ya wingu akashusha nipite mchana Nakumbuka mapito yote, niliyopitia, Nakumbuka na njia zote, nilizopitia Tazama Mungu tazama wewe, Tazama Mungu tazama wewe Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako Tazama Mungu tazama wewe, (tazama Mungu ) ni mwaminifu Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako Utukufu nakupa . . .

Jemedari mwenye maguvu, yule Goliathi, Akamlaza kwa kombeho, mkononi mwangu Nakumbuka alikemea, mawimbi ya maji, Nakumbuka yalimtii, nikafika ng'ambo Tazama Mungu tazama . . . Utukufu nakupa . . . ~ ~ ~ a) Bahari haiwezi kutuzuia - Tunatembea bila mitumbwi Na maji yanageuka kuwa ukuta - Mungu mwenyewe ni mtumbwi wetu tunavuka b) Maana amesema tumfuate - Mizigo itulemeayo tukampe - c) Muhimu tumwendee tukiamini - Na hata juu ya maji tutakanyagaa - Alimkumbuka Daudi mtumishi wake Akamkweza akawavusha waisrael katika maji bila mitumbwi} *2 Apewe, apewe, apewe sifa kuu Mungu apewe, apewe, milele milele Apewe apewe, apewe sifa kuu Mungu apewe, apewe Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page